×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila ajitetea kuhusu salamu za siasa na mikutano yake na marais wastaafu

21st April, 2018

Kiongozi  wa ODM Raila Odinga amejitetea kuhusu kukutana kwake na walioonekana kama mahasimu wake wa kisiasa . Raila Odinga kufikia sasa amekutana na rais Uhuru Kenyatta  na marais wastaafu Daniel Arap Moi na Mwai Kibaki.Raila amesema kuwa mapatano yake  na  rais kenyatta ni kuhakikisha kwamba kenya inasonga mbele kimaendeleo alikuwa  akizungumza katika mazishi ya nduguye babake mzee Jaramogi Odinga,Oteke Alogo 

.
RELATED VIDEOS