Patashika ya Lang'ata:Polisi wakabiliana na wakazi Lang'ata,sababu ni mzozo wa ardhi eneo hilo

KTN Leo | Thursday 19 Apr 2018 7:57 pm

        Patashika ilishuhudiwa kati ya polisi, maafisa kutoka serikali

        ya kaunti ya nairobi na wafugaji wa kimaasai, katika eneo la

        Lang'ata kufuatia mzozo wa umiliki wa kipande cha ardhi,

        katika eneo hilo. Zaidi ya familia mia tano za kimaasai zinadai

        kumiliki ardhi hiyo