.
19th April, 2018
Ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa Afrika umepelekea
vijana kuibuka na mbinu mbalimbali za ujasiliamali, huko
nchini Tanzania kijana mmoja ameamua kuwa fundi wa
kung’arisha na kushona viatu vya wapita njia kwa ujira
kidogo, lakini je! umewahi kufikiria kero wanayokutana
nayo warekebisha viatu wawapo kazini?