×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo wa ardhi Mwea:Serikali imesitisha kwa muda wa juma moja shughuli zozote katika eneo la Mwea

19th April, 2018

       Serikali imesitisha kwa muda wa juma moja shughuli zozote

        katika eneo la mwea linalokumbwa na utata, kufuatia kisa

        cha hapo jana ambapo watu wanne walipigwa risasi na

        kujeruhiwa. Kamati ya usalama kaunti ya embu

        imesitisha shughuli kwenye eneo hilo lenye ekari elfu 44 na

        kulitangaza kuwa eneo la kiusalama. mwenyekiti wa kamati

        hiyo ambaye ni kamishna wa Kaunti hiyo esther maina 

.
RELATED VIDEOS