×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bumbuazi limewakumba wakazi wa eneo moja mtaani Donholm baada ya mama kuwanyonga wanawe wawili

18th April, 2018

Bumbuazi limewakumba wakazi wa eneo moja 
mtaani Donholm baada ya mama kuwanyonga 
wanawe wawili na kisha kujitoa uhai kwa kunywa 
sumu mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31 
aliripotiwa kuwaua wanawe kabla ya kujiua, akiwacha barua 
kwa mumewe kueleza kutoridhika kwake na uhusiano aliodai 
alikuwa nao nje ya ndoa yao
.
RELATED VIDEOS