Madereva na kondakta wa kituo cha Mwembe Tayari,Mombasa waandamana

KTN Leo | Tuesday 17 Apr 2018 9:11 pm

Usafiri katika kituo cha matatu cha Mwembe Tayari umelemazwa baada ya madereva na kondakta kuandaa mgomo wakilalamikia hatua ya serikali ya kaunti ya Mombasa kuwafurusha katika eneo wanalohudumu.Kulingana na serikali ya kaunti mahala hapo ni hatari na wamewapa mahala mbadala