.
17th April, 2018
Mjadala wa kubadilisha katiba ili kubuni nafasi ya waziri mkuu unazidi kuibua hisia mseto.Kiongozi wa waliowengi Aden Duale amesema msimamo wa chama cha Jubilee ni kupinga njama zozote.Haya yanajiri huku mbunge wa Tiaty Kassait Kamket akidai Duale amekuwa kizingikiti kwenye mapendekezo yake ya mbadaliko kwa katiba.