KTN Leo: Uhaba wa maji katika bwawa la Ndakaini

KTN Leo | Tuesday 17 Apr 2018 8:58 pm

Tukisalia kwenye taarifa za mvua na mafuriko ni kinaya kuwa wakaazi wa Nairobi wataendelea kushuhudia uhaba wa maji kufuatia upungufu wa mvua katika eneo la Aberdare eneo ambalo huzalisha maji kwa bwawa la Ndakaini. Bwawa la Ndakaini lililoko kaunti ya Murang'a hutegemewa zaidi kusambaza maji katika jiji la Nairobi