Mwanamuziki Diamond Platnumz azuiliwa na polisi Tanzania
17th April, 2018
Mwanamuziki Diamond Platnumz azuiliwa na polisi Tanzania sababu ikiwa ni video chafu inayodaiwa kusambazwa mtandaoni hapo juzi huku serikali ya Tanzania ikisema video hiyo haimbatani na maadili ya nchi