17th April, 2018
Athari za mvua zimeendelea kushuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini huku sasa idara ya utabiri wa hali ya anga ikitabiri mvua kubwa katika baadhi ya sehemu. Na kama anavyoripoti Nicholas Wambua maeneo yatakayoathirika zaidi ni magharibi mwa kenya Pwani na hata Bonde la Ufa.