.
17th April, 2018
Juhudi za kutafuta maafisa wapya watakaohudumu kwenye tume ya uchaguzi na uratibu mipaka IEBC, zimeonekana kuanza baada ya mbunge wa Kiambu, Jude Njomo kuwasilisha mswada maalum kwa uchapisho bungeni. Shadrack Mitty anaarifu juhudi hizi mpya zinazotaka kubuni sheria maalum za jinsi makamishena wa tume ya IEBC watakavyoteuliwa kujaza nafasi za walioondoka