.
17th April, 2018
Tunaanza na taarifa za hivi punde zaidi ambapo maafisa wa usalama wanaohusika na ulinzi wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini IEBC Wafula Chebukati na makamishena wengine watatu waliosalia wameondolewa.Taarifa kutoka kwa meneja wa mawasiliano wa IEBC Andrew limo inasema kuwa maafisa hao wakiwemo madereva wenye silaha waliokuwa wakimhudumia chebukati na makamisha Abdi Guliye na Boya Molu waliondolewa mapema hii leo