Tume ya ardhi nchini imeendelea kusitisha mzozo unaohusu kipande cha ekari tisini Mombasa

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 10:19 pm

Tume ya ardhi nchini imeendelea kutanzua mzozo unaohusu kipande cha ekari 90 katikatiki mwa mji wa Mombasa huku mwenyekiti Mohammed Swazuri akitoa siku 90 kwa wamiliki kutoa maelezo ya jinsi walivyojipatia hati miliki.