Tawasifu ya Mwanasiasa Kenneth Matiba

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 10:06 pm

Mwanasiasa Kenneth Matiba ambaye alifariki jana alikuwa mwanasiasa aliyevunja rekodi kwa kujiuzulu uwaziri wakati wa utawala wa rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi.Alikuwa mwekezaji mkubwa lakini anakumbukwa kupigania demokrasia ya vyama vingi nchini