Mvua kubwa inayoendelea kunyesha kaskazini mashariki ya Kenya yasababisha mafuriko
16th April, 2018
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo kaskazini mashariki ya Kenya imesababisha mafuriko na athari mbalimbali. Taarifa ifuatayo inaangazia matatizo hayo yakiwemo kukwama kwa usafiri.