×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Migawanyiko yadhihirika katika tume ya IEBC baada ya makamishna watatu Kujiuzulu

16th April, 2018

Mzozo umeigubika tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Huku migawanyiko ikidhihirika baada ya makamishna watatu Kujiuzulu mapema hii leo.Naibu mwenyekiti Consolata Maina Na makamishina Paul Kurgat na Margaret Mwachanya Wamesema hawana imani na uongozi wa Chebukati.Na kama Nicholas Wambua anavyoarifu tume hiyo sasa inasalia na Makamishina watatu kati ya saba

.
RELATED VIDEOS