Kocha Simiyu alalamika kuwa majeraha kwa wachezaji yaliwafanya shujaa wamalize katika nafasi ya nane

KTN Leo | Sunday 15 Apr 2018 7:47 pm

Kocha wa timu ta taifa ya raga ya wachezaji saba innocent Simiyu amesema kwamba  majeraha kwa baadhi ya wachezaji wa kutegemewa yaliwafanya shujaa wamalize katika nafasi ya nane kwenye mashindano ya jumuia ya madola. kenya ililazwa na wales kwenye mechi ya kuwania nafasi ya saba alama 28 24