Wanafunzi wa vyuo vikuu wahangaika kutokana na mgomo wa wahadhiri
15th April, 2018
Athari za masomo zimeshuhudiwa miongoni mwa wanafunzi wa vyuo vikuu huku mgomo wa wahadhiri ukiingia siku yake ya arobaini na tano hii leo. Wanafunzi wengi sasa wanalalamikia kuvurugwa kwa mipango yao ya masomo