Mwanamke Ngangari aliyeshiriki katika kikao cha jinsia Beijing

KTN Leo | Sunday 15 Apr 2018 7:26 pm

Zena Challa kutoka eneo la Mwabungo, Pwani kusini ambaye mbali na shughuli za usomi alizoendesha, mwanamke huyu ni miongoni mwa waliofanikisha kongamano maarufu la Beijing lililopigania haki za kijinsia.