.
15th April, 2018
Naibu Rais William Ruto naye amesisitiza msimamo wake kuwa marekebisho ya katiba kubuni wadhifa wa waziri mkuu mwenye mamlaka hayana maana yoyote kwasasa.Ruto badala yake amesisitiza kuwa hakuna marekebisho yoyote yatakayofanyika, miezi michache tu baada ya uchaguzi mkuu. ameongeza kuwa mkataba kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ulinuiwa tukuwaunganisha wakenya akiwataka wanaoendeleza siasa kwa sasa kujihusisha na maendeleo.