×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

William Ruto matatani baada ya wabunge wa upinzani kushtumu matamshi yake

15th April, 2018

Naibu rais William Ruto ameendelea kujipata lawamani kutoka kwa wabunge wa NASA ambao wanamshutumu kwa kile wanadai ni njama yake ya kusambaratisha juhudi za utangamano, zinazoendeshwa na rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa nasa Raila Odinga. Wabunge hao wanadai msimamo wa Ruto dhidi ya marekebisho ya katiba unavunja moyo. 

.
RELATED VIDEOS