.
14th April, 2018
Licha ya kuwa hafla ya kumkaribisha nyumbani waziri wa elimu Amina Mohamed siasa zilitwaa nafasi huku wanasiasa wakisuta baadhi ya viongozi kutoka jamii ya waluhya kumtaka naibu rais kuungana na jamii ya waluhya ili kupata ushindi.