×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Sonko awasuta wanaomkashifu kuhusu utendakazi wake

14th April, 2018

Gavana wa  kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko amewakashifu vikali wakosoaji wake wanaodai  kwamba ameshindwa kulisimamia jiji la Nairobi. Gavana Sonko amesema kwamba usimamizi wa jiji  unahitaji ushirikiano wa karibu wa wakaazi wa jiji, wadau na hata serikali ya taifa. 

.
RELATED VIDEOS