×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia 100 zaachwa bila makao baada ya mto Nyando kuvunja kingo zake

14th April, 2018

Zaidi ya familia 100 zimehamishwa kutoka eneo la ahero na ombeiyo  kaunti ya kisumu  baada ya mto wa  Nyando kuvunja  kingo zake .Maji hayo tametatiza  usafiri katika eneo hilo .Msimamzii wa mipango maalum  katika  kaunti ya kisumu Ruth Odinga ameomba  wafadhili kuwaletea misaada walioathitrika na mafuriko hayo 

.
RELATED VIDEOS