×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gideon Moi atangaza kufuata nyayo za babake katika kuafikia ndoto yake ya kuingia ikulu

8th April, 2018

Seneta wa Baringo Gideon Moi amesema kuwa atafuata nyayo za babake katika kuafikia ndoto yake ya kuingia ikulu. akizungumza hapo jana wakati wa hafla ya kumkaribisha nyumbani mbunge wa Tiaty William Kamket, Moi ambaye pia ni mwenyekiti wa KANU amesema kwamba kwa sasa ataendelea kuwahudumia wakazi wa Baringo na siasa za mwaka 2022 zitakapofika atatangaza msimamo wake. 

.
RELATED VIDEOS