×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Nchini Tanzania asilimia 94 ya dawa na vifaa vya matibabu huagizwa kutoka mataifa ya nje

5th April, 2018

Nchini Tanzania asilimia 94 ya dawa na vifaa vya matibabu huagizwa kutoka mataifa ya nje huku taifa hilo likikumbwa na uhaba wa dawa katika hospitali zake. Hii ikiwa ni kutokana na kuwa na viwanda vichache vinavyozalisha dawa, sasa serikali ikianza mpango wa kuwavutia wawekezaji kwa ujenzi wa viwanda vya dawa nchini humo.

.
RELATED VIDEOS