5th April, 2018
Waziri wa usalama Fred Matiang’i ameendelea kujipata pabaya kuhusu matamshi yake dhidi ya idara ya mahakama huku jaji mkuu, David Maraga, akitetea utendakazi wa majaji na idara hiyo. Maraga badala yake anasema asiyeridhishwa na utendakazi wa majaji badi afuate njia za kisheria.