×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga akosa kuhudhuria mkutano kati yake na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa

4th April, 2018

Yuko wapi kinara wa NASA Raila Odinga? Hilo ndilo suali ambalo wakenya wengi wamekuwa wakijiuliza huku waziri huyo mkuu wa zamani akikosa kuhudhuria mkutano kati yake na waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa pamoja na waakilishi wa baraza la magavana. Raila akituma taarifa kumkosoa waziri wa usalama Fred Matiang'i kuhusu mashambulizi yake dhidi ya mahakama.

.
RELATED VIDEOS