×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru Kenyatta amewaonya maafisa wa umma wanaofuja pesa za umma

4th April, 2018

Rais Uhuru Kenyatta amewaonya maafisa wa umma wanaofuja pesa za umma akisema serikali haitawavumilia watu wanaolemaza juhudi za kuafikia maendeleo. rais amewaonya wale wanaoendeleza siasa akisema muda wa siasa umekwisha. Rais aliyeandamana na naibu rais William Ruto pamoja na viongozi wengine wa Rift Valley alikuwa akizungumza alipozindua hospitali ya kisasa ya macho katika hospitali ya Tenwek kaunti ya Bomet. Aidha rais ametoa muda wa mwaka mmoja kwa hospitali za rufaa nchini kujenga vitengo vya matibabu ya macho na meno.

.
RELATED VIDEOS