×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Miguna Miguna aendelea kuzuiliwa na maafisa wa serikali

28th March, 2018

Kwa siku ya tatu, wakili anayekumbwa na utata Miguna Miguna ameendelea kuzuiliwa na maafisa wa serikali baada ya kuzuiliwa kuingia nchini alipowasili kutoka nchini Canada. Waziri wa usalama Fred Matiang'i, Inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet na mkurugenzi wa uhamiaji Gideon Kihalangwa wamekosa kufika mahakamani kama walivyoagizwa kufuatia utata unaogubika kuzuiliwa kwa Miguna Miguna. Jaji George Odunga alitoa agizo jipya kutaka polisi kumuwasilisha Miguna mahakamani. 

.
RELATED VIDEOS