Maafisa wa IEBC kuzuru kaunti zote humu nchini kabla ya shughuli ya kuwahesabu wananchi kufanyika
22nd March, 2018
Maafisa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, chini ya uongozi wa mwenyekiti Wafula Chebukati watazuru kaunti zote humu nchini kabla ya shughuli ya kuwahesabu wananchi kufanyika mwaka ujao mwezi agosti