Waziri wa afya Sicily Kariuki apata afueni baada ya mbunge wa Mandera North kubadili nia
22nd March, 2018
Waziri wa afya Sicily Kariuki amepata afueni baada ya mbunge wa Mandera north Bashir Abdullahi ambaye alikuwa anaongoza hoja ya kumbandua kubadili nia.