Vinara wa NASA wafutilia mbali tetesi kwamba NASA inasambaratika
22nd March, 2018
Maseneta waliafikia hayo kwenye mkutano uliowahusisha vinara watatu Raila odinga , Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula ambapo vinara wamefutilia mbali tetesi kwamba nasa inasambaratika