.
21st March, 2018
Ni wachache wanaofahamu jukumu kubwa linaloteelezwa na kina mama katika uchimbaji na uzalishaji wa dhahabu katika machimbo ya magharibi ya nchi umetekwa. Willy Lusige alizuru machimbo hayo na kuweka katika ratili majukumu ya kina mama machimboni