.
21st March, 2018
Mamlaka ya ujenzi nchini imeanzisha mchakato wa kubomoa majumba hafifu jijini Nairobi. Shughuli hiyo ilingo'a nanga jumatano katika mtaa wa Zimmerman ambapo majumba mawili yaliyojengwa katika uwanja nyevunyevu na yasiyohitimu viwango yaliporomoshwa. Carolyne Bii na taarifa hiyo.