×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali ya wasiwasi yatanda maeneo ya Kaptembwa-Nakuru baada ya bomu kupatikana kwa makaazi ya wakulima

21st March, 2018

Hali ya msisimuko na wasiwasi ilitanda katika mtaa wa Kaptembwa katika kaunti ya Nakuru baada ya bomu kupatikana mchangani ni ya makazi ya wakulima wa eneo hilo. Ilibidi wataalam wa mabomu kuitwa kutoka katika makao ya wanajshi huko Gilgil ili kuliondoa bomu hilo na kulilipua mbali na makazi ya wananchi. Wenyeji walitoa kauli mbalimbali kuhusu tukio hilo ambalo liliwaacha wengi wao na mshangao mkubwa. Haijabainika asili ya bomu hilo lakini vikosi vya usalama vinaendelea kufanya uchunguzi

.
RELATED VIDEOS