×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji George Odunga atupilia mbali maamuzi wa mitihani ya shule ya upili ya Chebuyusi

21st March, 2018

Mahakama kuu imetupilia mbali uamuzi wa baraza la mtihani nchini kufutulia mbali matokeo ya KCSE katika shule ya upili ya Chebuyusi huko Kakamega. Jaji wa mahakama kuu, George Odunga, alisema baraza la mtihani nchini lilikosea katika kuyafutilia mbali matokeo ya watahiniwa mia moja na tisini, hivyo kulipa baraza hilo makataa ya siku kumi na nne kufanya uchunguzi upya. Shadrack Mitty anaarifu

.
RELATED VIDEOS