×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Moses Wetangula amebanduliwa kutoka nafasi ya kiongozi wa waliowachache katika bunge la Seneti

20th March, 2018

Seneta wa Bungoma Moses Wetangula amebanduliwa kutoka nafasi ya kiongozi wa waliowachache katika bunge la Seneti. Maseneta wote kumi  na nane  waliokuwa wamehudhuria mkutano huo wakiafikiana  kwa pamoja kumng’atua Seneta Wetangula. Haya yanajiri huku vyama vya ANC, Wiper na Ford Kenya wakituhumu ODM kuendeleza shinikizo dhidi ya Wetangula. 

.
RELATED VIDEOS