Kundi moja katika kaunti ya Nyeri hutumia mchanga kutengeza meko na matofali
20th March, 2018
Sio kila mara utawapata watu ambao wanajitahidi kukuza mapato yao kwa kutumia rasilimali ambazo ni rahisi kupata . Kundi moja katika kaunti ya Nyeri hutumia mchanga kutengeza meko na matofali yatakayopunguza uharibifu wa miti.