×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hospitali Garissa zimekosa huduma za matibabu kufuatia kutoweka kwa wauguzi na madaktari

20th March, 2018

Kwa  muda wa wiki tatu sasa hospitali za eneo la Ijara katika kaunti ya  Garissa  zimekosa huduma za matibabu kufuatia kutoweka kwa wauguzi na madaktari kwa kile kinachotajwa kama hofu ya usalama  wao . Eneo hilo limekumbwa na mashambulzii  ya kundi la  Alshabab   katika siku za majuzi . Wakazi wanaomba  seriali kuingilia  kati  ili wapate huduma za matibabu na elimu baada ya walimu nao kuondoka .

.
RELATED VIDEOS