.
19th March, 2018
Shughuli za usafiri zimerejea katika barabara ya Mai Mahiu-Narok bada ya barabara hiyo kuporomoka kwa mara ya pili kufuatia mvua . Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika sehemu tofauti nchini imeendelea kusababisha uharibifu mkubwa huku wengine wakiachwa bila makao.