.
19th March, 2018
Baadhi ya maafisa wa polisi wametishia kujitosa kwenye uhalifu ili kuyakidhi mahitaji yao. Vitisho hivyo vinafuatia hatua ya tume ya huduma za polisi kupunguza mishahara ya maafisa wa polisi waliohitimu kwa elimu ya juu. Kwenye mahojiano ya kipekee na ktn news.