.
18th March, 2018
Furaha ya mzazi yeyote ni kuona watoto wake kila wakati
haswa umri unavyozidi kusonga. Wakati mwingine watoto
hupata fursa ya kuishi ughaibuni na hivyo basi uzee
unapoingia, wazazi hushikwa na upweke wakiwa nyumbani.
leo anayevikwa joho la Mwanamke Ngangari irene karimi
aliyeanzisha nyumba ya kuwapa wazee faraja