×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aisha Jumwa sasa asema William Ruto tosha,mwaka 2022

18th March, 2018

 

        Naibu Rais William Ruto ameendeleza hoja ya kuwarai

        wakaazi wa pwani kujiunga na serikali. Akihudhuria misa

        katika kanisa la 

        st. Barnabas ACK mjini Voi kaunti taita taveta ruto ametoa

        wito  wa umoja na uwiano. Viongozi waliokuwa

        wameandamana naye kutoka upande wa upinzani na serikali

        wakisema watashirikiana kuunga mkono sera za maendeleo

        za Jubilee.

.
RELATED VIDEOS