Hali ya elimu inaendelea kudorora kaskazini mashiriki mwa Kenya huku shule zikifungwa
15th March, 2018
Kaskazini mashariki mwa nchi ambako hali ya elimu inaendelea kudorora hata zaidi ya shule zipatazo 218 za msingi na 42 za sekondari kufungwa kufuatia walimu wasio wenyeji kususia kazi baada ya uvamizi wa hivi majuzi.