Familia katika kaunti ya Kakamega yataka usaidizi ikidai kuwa mtoto wao alitibiwa visivyo
15th March, 2018
Familia moja inataka usaidizi ikidai kuwa mtoto wao alitibiwa visivyo katika hospitali ya kaunti ndogo ya Malava. Kwa sasa hali ya mtoto huyo si nzuri huku kichwa chake kikiendelea kuoza kwa wiki tatu sasa