13th March, 2018
Hoja ya kumng’atua ofisini waziri wa afya Sicily Kariuki imechukua mkondo mwingine huku sasa wabunge wanaoshinikiza kubanduliwa kwake wakimtaka spika wa bunge Justin Muturi kujiondoa kwenye kikao cha kujadili hoja hiyo itakapowasilishwa bungeni.