13th March, 2018
Wakazi wa maeneo ya Likoni na Kisauni kaunti ya Mombasa wanaishi kwa hofu baada ya kuchipuka upya kwa magenge ya uhalifu eneo hilo. Familia nyingi zimeelezea hofu ya kuvamiwa wakati wapendwa wao wanaendelea kuuguza majeraha katika hospitali mbalimbali .