.
12th March, 2018
Wakenya wengi wamekuwa wakilalamikia gharama ya juu ya nguvu za umeme katika siku za hivi karibuni huku wengine wakilipa gharama maradufu kutumia huduma za umeme. Je, sababu ya kupanda kwa gharama ya umeme ni ipi? Uchunguzi uliofanywa na KTN News umezamia gharama ya juu ya umeme na kutuandalia makala maalum kwenye "hadubini" naye mwanahabari wetu Hussein Mohammed.