×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Nakuru wanalitaka bunge kuhakikisha utekelezaji wa mswada kuhusu Kawi uliopendekezwa

12th March, 2018

Wakazi wa eneo bunge la Bahati kaunti ya Nakuru wanalitaka bunge kufanya hima kupitisha na kuhakikisha utekelezaji wa mswada kuhusu Kawi uliopendekezwa. Wanasema mswada huo uliasisiwa na Seneta wa Baringo Gideon Moi utasaidia pakubwa katika kuwanufaisha na raslimali zilizo katika eneo hilo. Walikuwa wakizungumza kwenye kikao cha umma kuhusu mswada huo. 

.
RELATED VIDEOS